Mwanaume mmoja aliyejulikana kwa jina la Charles Abel (24) Mkazi wa kijiji cha Usagara Mkoani Mwanza, amehukumiwa kifungo cha miaka 30 jela, kwa makosa mawili ya kubaka na kumpa mimba mwanafunzi wa darasa la saba ambaye ni mtoto wa baba yake mkubwa.

No comments:
Post a Comment